Taarifa za wanafunzi
Usajili, taarifa binafsi, madarasa na historia za kitaaluma.
Jenga taswira nzuri mtandaoni, wasiliana na wazazi na simamia shughuli za shule kwa teknolojia rahisi iliyoundwa kwa elimu ya kisasa.
Wape wazazi na wanafunzi sehemu nzuri ya kuifahamu shule yako, kuona programu za masomo na kuwasiliana nawe kupitia kifaa chochote.
Wape wazazi na wanafunzi sehemu nzuri ya kuifahamu shule yako, kuona programu za masomo na kuwasiliana nawe kupitia kifaa chochote.
Omba website ya shulePanga shughuli za kila siku za shule sehemu moja. Wape viongozi, walimu na watendaji zana za kufanya kazi kwa urahisi.
Usajili, taarifa binafsi, madarasa na historia za kitaaluma.
Fuatilia mahudhurio, utoro na mwenendo wa wanafunzi.
Simamia ada, madeni, risiti na historia ya malipo.
Simamia mitihani, alama, madaraja na ripoti za ufaulu.
Panga taarifa za watumishi, majukumu na kazi zao.
Panga vipindi, mikondo na ratiba za ufundishaji.
Tuma taarifa muhimu za shule kwa wazazi.
Pata muhtasari wa taarifa kwa maamuzi bora.
Picha na takwimu za dashboard ni za mfano. Vipengele na masharti ya huduma hukubaliwa na kila shule.
Kuanzia madarasani hadi maisha ya shule, wape wazazi picha halisi ya mazingira ya kujifunzia.
Tunaunganisha ubunifu wa muonekano na teknolojia inayosaidia kazi za shule. Anza na website, ongeza mfumo unapokuwa tayari, kisha panua huduma kulingana na mahitaji.
Vipengele rahisi vinavyoendana na kazi halisi za shule.
Muonekano mzuri kwenye simu, tablet na kompyuta.
Pata maelekezo kwa Kiswahili au Kiingereza unapohitaji.
Kama unahitaji website ya shule au huduma nyingine za SHIBIXNET, tuma ombi lako kwa kujaza fomu hii. Tutawasiliana nawe kujadili mahitaji yako na hatua zinazofuata.
Share your details and requirements.
Tafuta suluhisho sahihi la kidijitali kwa shule yako.